The United Republic of Tanzania

SELF Microfinance Fund

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Tunatoa Elimu ya Fedha

Kwa Wanufaika wa Mikopo ya Mfuko wa SELF.

Ili kuhakikisha tunafikia lengo la kuondoa umasikini kwa kuwapa watanzania fursa ya kujiajiri kupitia mikopo yenye masharti nafuu Mfuko wa SELF tunabeba jukumu la kutoa elimu ya fedha na usimamizi wa biashara kwa wanufaika wa Mikopo inayotolewa na Mfuko wa SELF.