Mshahara Loan
Jina La Mkopo
Mkopo wa Mshahara
Lengo la Mkopo
Kuwezesha Watumishi/Wafanyakazi kukidhi mahitaji binafsi ya nyumbani kama vile ununuzi wa vifaa vya nyumbani, mali, elimu ya juu nk.
Walengwa
Watumishi wa Umma wenye mshahara na uajiri wa kudumu au wa mkataba wanaofanya kazi kwenye Serikali Kuu, Manispaa, Halmashauri, au taasisi yoyote nyingine ya Serikali.
Maelezo/Vipengele vya Mkopo
Muda wa Mkopo: Mpaka miezi 84 yaani miaka 7.
Ratiba ya Mrejesho
Kila mwezi
Kiwango Cha Mkopo:
- Kuanzia TZS 100,000
- Mpaka TZS 70,000,000
Mahitaji ya Kuwasilisha Kufanya Tathmini wa Mkopo.
- Mkopaji atimize vigezo vya ustahili.
- Mkopaji atimize sharti la kiwango cha mshahara wa mwezi cha kubaki baada ya makato (Monthly salary take home rule).
- Fomu ya Maombi ya Mkopo iliojazwa kikamilifu.
- Fomu ya Dhamana ya Pamoja iliojazwa na kusainiwa kikamilifu.
- Hati/Slipu ya mshahara orijino ya karibuni (Latest original pay slip).
- Fomu ya Tamko la Mfanyakazi iliosainiwa sahihi.
- Nyaraka za Mjue Mteja Wako (KYC Documents).