DIRA
“Sisi ni Taasisi ya huduma ndogo za fedha inayoongoza katika kubadili maisha ya watu”.
DHIMA YETU
“Tunawapa watu fursa ya kufanya kazi kwa kutoa huduma ndogo za fedha kwa masharti nafuu”.